Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio sisi wenye videvu kama ganda la yai hatuna nafasiAwe mweusi kidogo sura ya kiume 😀😀ila uchebe muhimu awe nao 😀😀
Noma kweliUna force kingi tu mkuu, mtaje hata @mamdenyi
Niruhusu hata nifagie punje zilizodondoka au nipatie makombo yananitosha. 42 siyo neno kwangu juu yako. Hakika nakupendaUmechekewa jamvini karamu imeshaliwa, miaka 42 iliyopita.
Shida me sio photogenic picha last time kupiga sijui ni mwaka Juzi😀Uje utufurahishe na sisi basi 🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli hata wasukuma nao wametugaya [emoji23][emoji23]hakikisha yanachemka vizuri mvuke mvuke uwe mkali tukitoka hapo tunajtosa baharini[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera ila sku mj mj waibia la kusnap kdgHapanaaa
Tuko hapa tunaonyoa na hatumiliki mawigi
Mkifunga shule mtulie mfanye homeworkNjoo tuchapane pm dia
Ukikuwa utaelewa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hakina ata kijiuchebe?Kwa hio sisi wenye videvu kama ganda la yai hatuna nafasi
hya maneno aki yasema mwanamke napataga wogaHuyu unamla bila kachumbari 😋😋
Fear womenhya maneno aki yasema mwanamke napataga woga