Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Hebu Leejay49 chagua upande. Unatuchanganya wajumbe.Sasa mbona hukakemea😀 ukiingia ndani mtego huo kaa kwenye kochi. Hivi namjua Half american toka akiwa mdogo. Mama akituogesha alikuw anakimbia nje uchi tu mda wote hatako kivaa nguo😀 hajawah Ata Sali rozari leo hii anataka ukasali nae chumbani .
Mpenzi wangi Leejay49 nakuonea huruma. Unajua huyu jamaa huwa anakula bijiji na karanga wakati mmoja 😬😬🤣
Upo kwa Gily au Half american ? 😅😅