Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Sasa mbona hukakemea😀 ukiingia ndani mtego huo kaa kwenye kochi. Hivi namjua Half american toka akiwa mdogo. Mama akituogesha alikuw anakimbia nje uchi tu mda wote hatako kivaa nguo😀 hajawah Ata Sali rozari leo hii anataka ukasali nae chumbani .
Mpenzi wangi Leejay49 nakuonea huruma. Unajua huyu jamaa huwa anakula bijiji na karanga wakati mmoja 😬😬🤣
🤣🤣 fungu la kukosa kwahyo nilikua nakimbiaga uchi? Mbona sikumbuki 😂😂
 
Back
Top Bottom