Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
apambane na hali yake kwakweliApambane tu na hali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apambane na hali yake kwakweliApambane tu na hali yake
wewe una shida gani Kwani Gily😅Vitz halibebwi mkononi
View attachment 2601151
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.
Sasa mbona hukakemea😀 ukiingia ndani mtego huo kaa kwenye kochi. Hivi namjua Half american toka akiwa mdogo. Mama akituogesha alikuw anakimbia nje uchi tu mda wote hatako kivaa nguo😀 hajawah Ata Sali rozari leo hii anataka ukasali nae chumbani .aisee kweli uchawi, Gily kaa mbali na mimi 🤓
🤣🤣🤣🤣🤣 atamkuna na coin huyoWe si ulishindwa kumkuna na wekundu wa msimbazi, wacha kijana mnyenyekevu Half american afanye kweli.
Ubahili sio
Hakuna ajuaye KESHO mama , Kesho hatujaahidiwa, Leo ni yetu nipe nafasi kwenye moyo wako.Mambo makubwa haya 😄 yananiogopesha mwenzio. Yanakuwaga matamu mwanzoni halafu baadae yanaumiza.
kwahiyo, unataka kusemaje😅😅😅Sasa mbona hukakemea😀 ukiingia ndani mtego huo kaa kwenye kochi. Hivi namjua Half american toka akiwa mdogo. Mama akituogesha alikuw anakimbia nje uchi tu mda wote hatako kivaa nguo😀 hajawah Ata Sali rozari leo hii anataka ukasali nae chumbani .
Mpenzi wangi Leejay49 nakuonea huruma. Unajua huyu jamaa huwa anakula bijiji na karanga wakati mmoja 😬😬🤣
Nyie gombaneni huko huko, ila jina la lenie nisilisikie kwenye ugomvi wenu 😅😅
Ziitwe hipsi mporomoko.View attachment 2600305
Awe hvi tu mpka nyumba na gari za urithi nampa
Aje hapa chapu kabla sijafirisika
Asante Mamii 😍😍wapambe wakae mbali, wakijaribu tu kunisogelea nawamwagia mchanga.
Na masikio nimeziba pamba
So na wewe umependa mkuu aau😃😃😃😃
Wewe ni hela mingi sana. Sema hicho kibunda ulichodhamiria, nitaongezea kidogo 😅😅😂😂unataka unipose kwa bei gani?
Vile nawaza jinsi anavyotafuna tunda langu na maganda yake😀😀😀kwahiyo, unataka kusemaje😅😅😅
eti tunda lako😏😅😅Vile nawaza jinsi anavyotafuna tunda langu na maganda yake😀😀😀
Huoni kinavyojilamba na pozi la kutekenywa tako la kushoto.Hawa wengi wanapumuliwa
Johnnie Walker wananiibia tunda langu huku😢eti tunda lako😏😅😅