Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
wapambe wakae mbali, wakijaribu tu kunisogelea nawamwagia mchanga.Kama hatosikiliza maneno ya wapambe, basi nitafaidi sana 😅😅
Na masikio nimeziba pamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapambe wakae mbali, wakijaribu tu kunisogelea nawamwagia mchanga.Kama hatosikiliza maneno ya wapambe, basi nitafaidi sana 😅😅
babe wako nani,,, we toka jana saa8 nasubiri unitaje hujanitaja unawataja tu wengine, ndo hivyo nishahama kwako 😌Babe mbona unanichanganya na Half american. ? Tangia lini unanisaliti😢
KAa kwa kutulia 🤣
Nipo sana sema napatikana sana makapuku forum nimefurahi sana kukuona baba wa mtoto mzuriiiUmefichwa sana mrembo
Utualike me na baby wangu kwenye harusi yenuAnytime as u wish my queen tukapate na baraka za wazazi 🥰😘
wewe tu sema lini unakuja watu wajiandaeAnytime as u wish my queen tukapate na baraka za wazazi 🥰😘
babe wako nani,,, we toka jana saa8 nasubiri unitaje hujanitaja unawataja tu wengine, ndo hivyo nishahama kwako 😌
Nyie ndio wasimamizi wetu 😍Utualike me na baby wangu kwenye harusi yenu
ndo ushawahiwa dear ex😏
The day after kesho si utanizalia mapacha mama watoto ? 🤭wewe tu sema lini unakuja watu wajiandae
Asante mrembo, mimi piaNipo sana sema napatikana sana makapuku forum nimefurahi sana kukuona baba wa mtoto mzuriii
Kakudanganya anakununuliq nini🤣🤣🤣ndo ushawahiwa dear ex😏
mapacha ushapata,, mapacha wa4 tena 🤗The day after kesho si utanizalia mapacha mama watoto ? 🤭
ulikosea afsa! Usingemuonesha the real you! tanguliza uhohehahe... hawa wanawake mwalimu wao ni kipofuKuna mmoja alijiona Keki kisa tu nilionyesha kumjali, nami nikaamua kumpotezea mazima,hakujua kua kapishana na Gari la mishahara,
Life is too short usiwe slaves wa mapenzi kupita kiasi.
😎😎
ataninunulia crown, we si umeshindwa 😅😅Kakudanganya anakununuliq nini🤣🤣🤣
🥰😘😘😘 that's my queenmapacha ushapata,, mapacha wa4 tena 🤗