Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

babe wako nani,,, we toka jana saa8 nasubiri unitaje hujanitaja unawataja tu wengine, ndo hivyo nishahama kwako 😌
IMG_20220713_230946.jpg

Half american ama zako ama zangu😬😬😬
Hili tunda nataka nilinunulie vitz😀
 
Kuna mmoja alijiona Keki kisa tu nilionyesha kumjali, nami nikaamua kumpotezea mazima,hakujua kua kapishana na Gari la mishahara,

Life is too short usiwe slaves wa mapenzi kupita kiasi.

😎😎
ulikosea afsa! Usingemuonesha the real you! tanguliza uhohehahe... hawa wanawake mwalimu wao ni kipofu
 
Back
Top Bottom