Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Mimi Gily naandika talaka hii kwa mpenzi wangu Leejay49 tarehe 27/4/2023. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo. Kunipikia wali ukautia ndimu tangia lini wali ukatiwa ndimu. Kutaka gari vitz wakati kwenye ukoo wetu aliyenunua gari ni yule baba mdogo anayechukua watu misukule!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo. Hata ukinipa kiporo nakisusa kitakuwa kimechacha kutokana na tabia ya Half american kula bila kunawa mikono na kulamba sana vidole vyake bila sababu ya msingi. .

Barua hii naituma kupitia washenga wangu Johnnie Walker, Binadamu Mtakatifu na mshamba_hachekwi . Pia nakukumbusha tu kuanzia leo sina ujamaa na wewe mwambie mjomba wako Analyse na shangazi yako Lenie warudishe hela yangu niliyowaazima sikukuu ya eid. La sivyo tutakutana mahakamani. .


La msingi sijazaa na wewe Leejay49 maana ningepata watoto wa kenge kama ulivyo mama yao😀
View attachment 2601246
Na asipo rudisha tunawafunga
 
Hela sisi tulishakula, kama vipi mtafute Leejay49 akupoze mmalizane 😅😅
Alishatangaza kuwa mimi nina kibamia naumia sana moyoni. Nikamjibu kibamia si kimekukula lakini😀😀 naumia sana siwezi msamehe
DLUIgulW4AUXHy_.jpg
 
Back
Top Bottom