Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Wadau wengi humu wanaishi kwa Shemeji zao walikoolewa Dada zao, hawajui walitendalo.
Nakupenda sana Mchizi wangu To yeye ❤️‍❤️‍
Nakupenda pia Manyanza ...members wengi wa humu single mom wanatukatisha sana tamaa kiasi kwamba huwezi kumwamini MTU anayekuja mbele yako kwa nia nzuri...yaan unajua tu nachorwa hapa... Anataka apite huyu!😕
 
Back
Top Bottom