Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Wadau wengi humu wanaishi kwa Shemeji zao walikoolewa Dada zao, hawajui walitendalo.
Nakupenda sana Mchizi wangu To yeye ❀️‍❀️‍
Nakupenda pia Manyanza ...members wengi wa humu single mom wanatukatisha sana tamaa kiasi kwamba huwezi kumwamini MTU anayekuja mbele yako kwa nia nzuri...yaan unajua tu nachorwa hapa... Anataka apite huyu!πŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…