Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Nimeotea mkuu.
Nilibahatisha kwenye ule uzi wa selfika sio mtembeleaji sana. Miaka yote nimeotea kuwaona wadada wawili tu so huwa siuzingatii sana. Majuzi sasa ndio nakutana na Bantu Lady

Ni kazuri halafu ka mwananchi mwenzangu😍
Kumbe pia ni Yanga mwenzangu Aaawww mbona huwa sikuoni? Huwezi amini, leo ndiyo mara ya kwanza nakuona eti!!!
Antonnia Aaliyyah shemeji yetu kapitishwa rasmi, ila mazoea naye sitaki 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mkaoge maji ya bahari kwanza πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla halijakuchwa atachezea kipigo🀣🀣
 
Wewe mwanadamu umewahi toa mada ipi inayoeleweka labda halafu tuongee kifair tu bossy, huu Uzi sio wamaana maana hujautoa wewe acha watu waenjoy maisha ni mafupi ndio maana jf ukitoa vitu serious wanafuta kila saa tukunje sura Kisa
Mbona povu bablaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzi ni wa kijinga na wajinga tupo kuutembeza..umekerwa?🀣🀣
 
🀣🀣🀣Ndugu unatuchamba Tena ndugu zako tumekosa sisi tusamehe 🀣🀣🀣🀣
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…