Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Nimeotea mkuu.
Nilibahatisha kwenye ule uzi wa selfika sio mtembeleaji sana. Miaka yote nimeotea kuwaona wadada wawili tu so huwa siuzingatii sana. Majuzi sasa ndio nakutana na Bantu Lady

Ni kazuri halafu ka mwananchi mwenzangu😍
Kumbe pia ni Yanga mwenzangu Aaawww mbona huwa sikuoni? Huwezi amini, leo ndiyo mara ya kwanza nakuona eti!!!
Antonnia Aaliyyah shemeji yetu kapitishwa rasmi, ila mazoea naye sitaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkaoge maji ya bahari kwanza 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂
 
Kabla halijakuchwa atachezea kipigo🤣🤣
 
Wewe mwanadamu umewahi toa mada ipi inayoeleweka labda halafu tuongee kifair tu bossy, huu Uzi sio wamaana maana hujautoa wewe acha watu waenjoy maisha ni mafupi ndio maana jf ukitoa vitu serious wanafuta kila saa tukunje sura Kisa
Mbona povu bablai😂😂😂😂
Uzi ni wa kijinga na wajinga tupo kuutembeza..umekerwa?🤣🤣
 
Kumbe pia ni Yanga mwenzangu Aaawww mbona huwa sikuoni? Huwezi amini, leo ndiyo mara ya kwanza nakuona eti!!!
Antonnia Aaliyyah shemeji yetu kapitishwa rasmi, ila mazoea naye sitaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkaoge maji ya bahari kwanza 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂
🤣🤣🤣Ndugu unatuchamba Tena ndugu zako tumekosa sisi tusamehe 🤣🤣🤣🤣
 
Naweza kumkubali kukuridhisha hlf kaka wa watu akaishia kuwa kataa ndoa kila akipita unaona tu anaandika kataa ndoa ni mauti,kataa ndoa ni moto,kataa ndoa ni kirusi uishie kupata dhambi.Mi sifai sisy😂😂
[/QUOTE
🤣🤣🤣🤣Kuna mmoja aliniacha hoi alisema ndoa ni UCHAWI !

Mdogo wangu wa dhahabu unafaa Sana acha kujifanya hufai,mi sinaga ndugu wasoeleweka❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom