Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Happy US madomo zege,yani simple tu una tag id halafu Ndukiii

shida nikitaja zote ntaonekana mrax,sasa si bora nikaushe tuuu

maaana sio mmoja sio wawili sio watatu wala sio wa nne,Nachojua

hata wakinikubalia wote bado ntapenda tenaa,huu moyo wangu naujua...
 
Hivi yule wa mwanza mdau wa biashara siku hizi anajiita nani vile? Najua hutomind 😁
 
Wewe nyiie wa domo zege nyie ni wah mnawadada wengi nyie ni moto wakuoteaga mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…