Darlin huna baya, nimekutaja moyoni. Fungua PM tuanze kampeni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huna ndio kama yupo mtaje wewe
Kina nani ndo watakuonea wivu?Woyooooo watanionea wivu mie
Mwanga sera hapa nikizikubali nakuja PM mwenyweDarlin huna baya, nimekutaja moyoni. Fungua PM tuanze kampeni.
Wana Zengo πππKina nani ndo watakuonea wivu?
Niendelee kushusha mistari au nimwachie Damian ππππππππ sijaona mistari unataka mpindua Darmian sio
Lakini ulinambia mwenyewe kua unapenda mijimamaBaby unanikandia ehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ntakutana nae leo mida ya sa mbili mbili.Yupo njiani anakuja
Aiseeπ π πMnaowataka ni hao ila tupo sisi wenye vipara at 21yrs age
Ndio uhalisia tena kipara chenye jashoAiseeπ π π
Naomba niwe mlinzi wenuNtakutana nae leo mida ya sa mbili mbili.
Hapana mim sitak ulinzi.Naomba niwe mlinzi wenu
Shusha nichane nielewe somoNiendelee kushusha mistari au nimwachie Damian πππ
Trunakujaaa na notebook kabesaaa dearrπ€© Somo Lazima lituingieeeππWabheja sana πππ mkae mbali sana πππππ nianze kumpet pet shemeji yenu. Aone alichelewa wapi kujuana namimi. Kama mtahitaji somo niwafundishe, mnione Whatsapp πππππ€£π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£πππ€£π€£Yan umeniwah nilitak kusema hili tuongeze siku 10 kwanza hili gundu ni zito kama tope πππhad ndugu yetu anatukataaπ