Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka Sana.bado ana pace ya kuongoza jimbo au pumzi imekata?? Maana Mimi na Mzee mwenzangu Glenn tumelitafakari sana hili jambo leo maana amekuwa adimu sana au ndio kawa Kaka wa Nyumbani???
Tunamalizaje na hutaki kunielewaLigi bado Inaendelea
I thought mshamalizana huku
Dah!! 😅😅
Wenzako wanataniana weww unachukulia serious btn PM yangu nimeifunguaTunamalizaje na hutaki kunielewa
Nakuja.... [emoji23]Wenzako wanataniana weww unachukulia serious btn PM yangu nimeifungua
Nasikiliza hoja zenu leo [emoji2][emoji2][emoji2]
Utakuwa unanionea Bure kaka. Mali nimeikuta haina mtu, na hakuna aliyemtaja. Kosa langu nn? 😅😅
Karibu sana mkuuNakuja.... [emoji23]
acha tu mkuu tushakuwahi 😂Nakuja.... [emoji23]
Hii imekuuma sana mkuu.Mnaenda pm jmn??
Wewe ni Muongo[emoji3064]hujafungua pm yakoKaribu sana mkuu
Unyaama ., Ukatili[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu mkuu tushakuwahi [emoji23]
mimi ni fataki bilionea 😂Unyaama ., Ukatili[emoji23][emoji23][emoji23]
Afu humu usikute nakimbizana na father angu maana na yeye kwa soso media àmejipata[emoji23]
Sasa ndiyo mnipe maconnection na michongo,ilo mdogo wenu nisidhalilike kwa Hawa warembo. Kufungua mageti kwa kweli inachosha Sana.