Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Really??? Kukupenda imekuwa usumbufu... You mis a lot kutoka kwangu , mimi siyo umbwa kama hizo umbwa zingine[emoji23]
Screenshot_20230427-215914.png

Vipi upo kama huyu? Unandevu kama huna usinisumbue PM 😃😃😃
 
Mrembo Darlin ,

Unakumbuka nilikuambia nakupenda sana,hata dada yako Carleen analijua Hili,Sina haja ya kurudia kila saa.

Tatizo ni moja tu,Sina hela😃,Ila Nina mabro wangu humu Manyanza na Glenn watafanya Jambo. Siku nikizipata milele utafurahi!!
Daaahh ningekuja PM mwenywe tatizo umejielezea sana kabla ya tongozo

Umeniogopesha aiseeee siji tena

Carleen dada ndoa ilikua tuwe nayo mwaka huu ila nimeahirisha😆
 
Joan anakutakia mambo mazuri unakataaje mrembo, 😀,, au umesahau mkataa pema pabaya panamuita?
Mkuu ina maana hujastukia tu kuwa da Joannah yeye ndo anakutaka ila ananitumia mim kama kivuli😂😂.

Nikwambie kitu shem,ukimpata dada yangu umepata mke mwema.
Hana kasoro mi shida tupu😂😂
 
Mkuu ina maana hujastukia tu kuwa da Joannah yeye ndo anakutaka ila ananitumia mim kama kivuli😂😂.

Nikwambie kitu shem,ukimpata dada yangu umepata mke mwema.
Hana kasoro mi shida tupu😂😂
🤣🤣🤣🤣Kweli mkataa pema pabaya panamuita...kwa hiyo Mimi kukuonyesha mgodi unaotembea umeniona mwehu?Shauri yako Extrovert shem Kama shem najua kwako hakishindikani kitu mtunze mdogo wangu
 
Daaahh ningekuja PM mwenywe tatizo umejielezea sana kabla ya tongozo

Umeniogopesha aiseeee siji tena

Carleen dada ndoa ilikua tuwe nayo mwaka huu ila nimeahirisha😆
Wewe pm njoo tu,kupendana tutapendana juu kwa juu.

Mambo mengine niachie Mimi mwanaume niweke sawa.
 
Back
Top Bottom