Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Darlin huna baya, nimekutaja moyoni. Fungua PM tuanze kampeni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huna ndio kama yupo mtaje wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darlin huna baya, nimekutaja moyoni. Fungua PM tuanze kampeni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huna ndio kama yupo mtaje wewe
Kina nani ndo watakuonea wivu?Woyooooo watanionea wivu mie
Mwanga sera hapa nikizikubali nakuja PM mwenyweDarlin huna baya, nimekutaja moyoni. Fungua PM tuanze kampeni.
Wana Zengo 😂😂😂Kina nani ndo watakuonea wivu?
Niendelee kushusha mistari au nimwachie Damian 😌😌😌😂😂😂😂😂 sijaona mistari unataka mpindua Darmian sio
Lakini ulinambia mwenyewe kua unapenda mijimamaBaby unanikandia ehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ntakutana nae leo mida ya sa mbili mbili.Yupo njiani anakuja
Aisee😅😅😅Mnaowataka ni hao ila tupo sisi wenye vipara at 21yrs age
Ndio uhalisia tena kipara chenye jashoAisee😅😅😅
Naomba niwe mlinzi wenuNtakutana nae leo mida ya sa mbili mbili.
Hapana mim sitak ulinzi.Naomba niwe mlinzi wenu
Shusha nichane nielewe somoNiendelee kushusha mistari au nimwachie Damian 😌😌😌
Trunakujaaa na notebook kabesaaa dearr🤩 Somo Lazima lituingieee📝📝Wabheja sana 👏👏👏 mkae mbali sana 😄😄😄😄😄 nianze kumpet pet shemeji yenu. Aone alichelewa wapi kujuana namimi. Kama mtahitaji somo niwafundishe, mnione Whatsapp 💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣Yan umeniwah nilitak kusema hili tuongeze siku 10 kwanza hili gundu ni zito kama tope 😂😂😂had ndugu yetu anatukataa😀