Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.

Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.

Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.

Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.​
Kupenda ni hisia we nae, siyo moyo... Any way popote alipo @mamdenyi
 
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.

Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.

Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.

Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.​
Umenisababishia shida. Mademu wamemiminika PM kwangu wakitaka mahusiano nami. Msiwe mnaandika thread kama hizi mnatupa shida sisi watu watulivu... Leo nimekuwa busy kila mtu anataka anipate
 
Back
Top Bottom