Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #241
Hii ni hatari, watakuwa si wazalendoInakuwaje watu wana nyota kiasi wanatajwa kabisa?😪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni hatari, watakuwa si wazalendoInakuwaje watu wana nyota kiasi wanatajwa kabisa?😪
Mimi ni tall tu hayo mengine sijuiKwani wewe sio tall, dark, handsome?
Jibu upesi ili nijue kama nafuta comment yangu au naiacha
Fafanua vizuriAwe mweusi kidogo sura ya kiume 😀😀ila uchebe muhimu awe nao 😀😀
Ajitokeze tafadhaliUsiache mbachao Kwa msala upitao.
Kuna watu walifia Ndani baada ya Nyumba zao kuungua moto Kwa sababu tu ya milango na mageti ya Nyumba zao.
Namtaka Ecstasy Queen
Hiyo hiyo inatosha.Mimi ni tall tu hayo mengine sijui
Mtaje unaemtaka, ikiwezekana mmwagie sifa 😀 😀 😀Ngoja nione mtanange
Mtaje wa kwakoNasubiria kutajwa.
Hutaki mr?Mnaitwa huku
😂😂😂😂Kwakweli tusisahau na mafusho 😂😂😂Tukaogee maji ya bahariii dearr sio kwa gundu hiliii🤣🤣!!
Tuvute subra, atajitokeza tuNitafutie mwanadada anaitwa Mama Sabrina, anaonekana mtundu sana sema amekua adim now days
Kuna mmoja kaning'ang'aniza nimtaje. Darlin wakati hata sina hisia na libibi la watu.Mtaje wa kwako
Kutokumtaja atabebwa na wengineMbona ghafla sana? 🤔
Nadhani atakutafuta, msherehekee muungano kwa vitendo
Fungua PM basi nikushushie mistariDepal
Tusitegeane, bado wapo wengiAmbao tayari tushatakana na kupatana tunakomenti wapi
🥰 sio kwa kigezo cha dolari mia mbili lakini 😂
Kwakweli nampenda sana my luckyline nahisia nae, toto guu la bia Tako la kuvunja Chaga, popote ulipo mrembo njoo pm tuyajenge mama lake.Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.
Dr. MariposaKama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu; kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue; inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia; pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana; haya kazi kwenu, tiririka.
Mzamie ndani (pm) lishangazi mremboMm namtaka yeyote aliye na umri wa miaka 40-50 humu ndani unaweza kudhani ni ID ya mwanamke kumbe ni mwanaume mwenye kende 2 kavu.
Mabinti wadogo wamenichosha.