Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Your wish is my command kipenzi🤗
Hata ukitaka watoto 10, me sina neno as long as unanilisha vizuri mwili una afya basi ni wewe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your wish is my command kipenzi🤗
Mioyo ya kina Ngosha ndio ilivyo,Wana mioyo safii🤣🤣🤣🤣Yaani ndio shida hiyo, moyo wake sijui una ukubwa gani hadi atupange hivyo
Sawa kipenzi hakuna shida, ngoja tuijaze Dunia 😍😍😍Your wish is my command kipenzi🤗
Hata ukitaka watoto 10, me sina neno as long as unanilisha vizuri mwili una afya basi ni wewe tu
Hawanaga baya na mtu, wenyewe wanasambaza tu upendo 🤣🤣Mioyo ya kina Ngosha ndio ilivyo,Wana mioyo safii🤣🤣🤣🤣
Na maandiko yanatuagiza hivyo, sisi ni akina nani tupinge?Sawa kipenzi hakuna shida, ngoja tuijaze Dunia 😍😍😍
Hii comment asiione yule jamaa, anaweza akapasua simu yake 😅
Kabisaaa,ndio tuvumilie tu na golden heart yaoHawanaga baya na mtu, wenyewe wanasambaza tu upendo 🤣🤣
Weee kazi ipo, Ila vitaeleweka tuKabisaaa,ndio tuvumilie tu na golden heart yao
Ntakupeleka tukaishi kisiwani kipenzi changu. Maana nasikia uchawi hauvuki bahariNa maandiko yanatuagiza hivyo, sisi ni akina nani tupinge?
🤣🤣🤣 Si bora apasue simu kuliko akatuloge tuachane, ukiniona uone kama umeona ngedere
🤣🤣🤣🤣🤣Weee kazi ipo, Ila vitaeleweka tu
Wee twende basi hata saivi🥰🥰Ntakupeleka tukaishi kisiwani kipenzi changu. Maana nasikia uchawi hauvuki bahari
harusi lini ili nijue najipangaje....Wee twende basi hata saivi🥰🥰
Ooh kumbe ni usiku sana, basi kesho asubuhi tuhamie huko kipenzi
🙄Asante msweet ulale salama pia, MUNGU akulinde
xoxo
Mtoto anabebwa hivi hivi unashangilia 😀 😀 😀harusi lini ili nijue najipangaje....
Mkuu sijaona ukimtaja
Tutaenda kisiri Siri bila kuaga. Wapambe wasijue 😍😍😍Wee twende basi hata saivi🥰🥰
Ooh kumbe ni usiku sana, basi kesho asubuhi tuhamie huko kipenzi
Tuambie na wewe unamtaka nani mkuihuu uzi umefunguliwa leo na umefikisha comments 800+
Mkuu tena mara hii 😅Mkuu sijaona ukimtaja