Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Usiache mbachao Kwa msala upitao.


Kuna watu walifia Ndani baada ya Nyumba zao kuungua moto Kwa sababu tu ya milango na mageti ya Nyumba zao.


Namtaka Ecstasy Queen
We mbwa ningeshangaa nisione mchango wako humu 😂😂😂🙌🏾

Msomi uliyekubuhu kwenye vyenye maana na ujinga kwa asilimia zaidi ya 100+%

Nakukubaligi sana kijana wangu "THE JACKAL!" 👍🏾
 
Back
Top Bottom