Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mpaka urudishe pesa zetyaisee, nyie sio watu wazuri 😌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka urudishe pesa zetyaisee, nyie sio watu wazuri 😌
Maaana ya jinalangu ni utukufunakumbuka weekend kulikuwa kuna tafsiri za majina la kwako nimelisahau 😂😂😂
jamani, nimeshakua kua jini mara hii😌Sikuwa najua kama majini nayo yana moyo😀
Sawa sawaNi mpya, hawezi kwa sasa...
Mashemeji zako wana hasira sana 🤣🤣🤣🤣jamani, nimeshakua kua jini mara hii😌
Mzee wa tipwa tipwa tetema😀Sawa sawa
Maashallah utukufu wa Ahera au dunya 😂 😂 😂Maaana ya jinalangu ni utukufu
Huu ni mtego😀😀Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.
Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.
Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.
Hapo utajua wew😂😂😂Maashallah utukufu wa Ahera au dunya 😂 😂 😂
Walai tumkomalie Bantu Lady atuangalizie angalizie huko lol 🤣🤭!😂😂😂Atuambie dadaangu nafas ipatikane Kwa nduguyake hapo usikubali 😂😂
aisee, mbona nitakoma😅😅Mashemeji zako wana hasira sana 🤣🤣🤣🤣
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema nataka tuwe kwenye mahusiano basi, lakini mahusiano ya Uki comment na reply na Mimi Ni ki Comment na wewe una reply... halafu katika huu uhusiano wetu Ufanye kuni follow basi 🤣🤣🤣Hapo utajua wew😂😂😂
Thread ya watu inapendeza ipo na amani itakuja kuchafuka...Sawa sawa
Bila shaka huu ni utukufu wa Duniani huu 😂😂😂Hapo utajua wew😂😂😂
Cheka utanue mapafu kipenziii jf ni stress free zone!!!😘Nimecheka jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 Tonnia ni chizi wewe mtoto unajua. Kazi anayo mbona.
utuletee mrejesho alafu😀
Muda si mrefu, mrejesho utakuwa hapa jamvini.
😂😂😂Kha Yamekuwa hayoKama kichwa cha huu uzi kinavyosema nataka tuwe kwenye mahusiano basi, lakini mahusiano ya Uki comment na reply na Mimi Ni ki Comment na wewe una reply... halafu katika huu uhusiano wetu Ufanye kuni follow basi 🤣🤣🤣