Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Eti nimeambiwa aliyenitaja ni Mwanafunzi🙄😂😂😂🤣🤣🤣 nani kakutaja nimjue😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti nimeambiwa aliyenitaja ni Mwanafunzi🙄😂😂😂🤣🤣🤣 nani kakutaja nimjue😀😀
Usijipendekeze unajifanya unamjua saana.
😂😂 kwa nnhaha sasa huo mzigo mtoto mzuri Leejay49 nakuachia hakikisha unaweka hela kwenye account ya mama😀
Wee sii umesema mambo ya madem basi....umetulia sasa kukupindua kivipi wakati Dr Lizzy ulimuacha muda. Wacha mie nikajilie mema ya nchi na vile anajua kupika nakwambia nitakuwa naulizwa tuu bby do u wana eat or do u wana eat first🤣🤣🤣🤣Mkuu, umeamua kunipindua mchana kweupeee 🫣🫣🫣 kweli maskini hatupendani
Nimeshaweka alama yangu tangu jana mkuu. Tumekubaliana na Joannah kuwa nisitajwe nae asitajwe tena😅Uzi huu bila mafisi maandamizi
DeepPond
National Anthem
Analyse
@@manyanza
Carlos The Jackal
Na mshauri ERoni
Wasipokuwepo haunogi🤣🤣🤣
😀😀😀 Ndio maana nimekwambia ukweli kwasababu tumetoka mbali, mie mwenyewe nimekimbia madarasa yakeUnajua wewe ni ndugu yangu na tumetoka mbali sana, natumani unanitania tu
😂😂😂😂Shenzi sana wew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Nani hataki surprise za nimekutumia ya lunch babe wangu, una changamoto gani kwasasa mpenzi wangu kwani weeeehh!! 😂😂🤣🤣!! In Aaliyyah voice 🤭!
Anaendelea vizuri nadhan ijumaa inayokuja nampeleka kwa daktari bingwa wa watoto akachekiwe. Jicho lake moja linatoa sana matongotongo. .Mgeni wetu anaendeleaje ngd yangu
Kwa hiyo una miaka mingapi DarmianWadada wa JF mnatuonaga sisi under 30 watoto sana..sidhani hata kama utanikubali..
Sio mrembo hata kidogo! 😄😄Kwani unao wangapi bby? Wala usijali hilo wana sio tatizo. Ila tunapata mmoja wa mie na wewe kutuunganisha au sio mrembo
Jifunze kwa Achraf hakimi🤣🤣🤣😂😂 kwa nn
Dah! Umeamua kuniua kabisa ndugu yangu🫣🫣Wee sii umesema mambo ya madem basi....umetulia sasa kukupindua kivipi wakati Dr Lizzy ulimuacha muda. Wacha mie nikajilie mema ya nchi na vile anajua kupika nakwambia nitakuwa naulizwa tuu bby do u wana eat or do u wana eat first🤣🤣🤣🤣
nani amekuambia😂Eti nimeambiwa aliyenitaja ni Mwanafunzi🙄😂😂😂
😂😂😂😂 Tyuko na furahaaa kubwaaa sana shemelaa Mbantyuuu ni chombo ya kwendraaaa!! Mtrotro Mkareeeeeee sana huyoo hakika umejua kuchaguaaa!!🤩🤩🤩!!😂😂 Kwani Antonnia na mwenzio Aaliyyah mna nini?
Ndio natuma maombi hapa kwa Bantu Lady afanye wepesi.
Rafiki yupo hakuna tatizo yani.