Ah huyu sii kaacha jimbo wazi wacha mie nijitwalia mke nitulie. Najua nitakuwa nalishwa vizuri hapoJana tu ilikuwa muungano, leo mzabzab anakimbilia mapinduzi.😶🌫️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah huyu sii kaacha jimbo wazi wacha mie nijitwalia mke nitulie. Najua nitakuwa nalishwa vizuri hapoJana tu ilikuwa muungano, leo mzabzab anakimbilia mapinduzi.😶🌫️
Ahati mbaya tupo sisi wa hivi ma'amKama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Wewe shujaa
Nawatakiwa baraka tele mkuuAnaendelea vizuri nadhan ijumaa inayokuja nampeleka kwa daktari bingwa wa watoto akachekiwe. Jicho lake moja linatoa sana matongotongo. .
All is well my friend. .
Yeye hana mambo ya Huda wa hakimiJifunze kwa Achraf hakimi🤣🤣🤣
😂 Kwahiyo sasa hivi ndio umetoka shule babe, ni kweli?😭😭nani amekuambia😂
😂😂😂😂Shenzi sana wew
Yale mambo yana rahayake jamani
How was your day darling?😍
nyie hata km umekula dagaa unaona km umekula nyama 😂😂
nimetoka kwenye daily hustles ili wewe usilale na njaa.....😂 Kwahiyo sasa hivi ndio umetoka shule babe, ni kweli?😭😭
Nakupenda sana😍😂😩nimetoka kwenye daily hustles ili wewe usilale na njaa.....
Njoo nikuonje,hutoniachaMhhh....kwa Utatu Mtakatifu mlionao?? Haiwezekani!
Lakini sasa too late, nishampenda na penzi jipya nadhani unajua linavyokuaga😀😀😀 Ndio maana nimekwambia ukweli kwasababu tumetoka mbali, mie mwenyewe nimekimbia madarasa yake
Jimbo lina mgogoro 🥴Ah huyu sii kaacha jimbo wazi wacha mie nijitwalia mke nitulie. Najua nitakuwa nalishwa vizuri hapo
Mwaaa.... 😂 usimsikilize Gily ni fataki....Nakupenda sana😍😂😩
Kumbe ni niniUnafikiri mapacha ni nazi upange kununua 2 sokoni?
Wee mapocho leta hapa tegeta kibaoni.Jimbo lina mgogoro 🥴
Mapochopocho 🍲🥘🍗 niwaletee wapi???