Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Najua hujaacha kunipenda sema hupendi show off😂😂😂Ndio maana nakukubaligi🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hujaacha kunipenda sema hupendi show off😂😂😂Ndio maana nakukubaligi🤭
Sitaki unipigie pm kukuelekeza inatoshaTatizo simu iliondoka na namba zako boss
Sijui nakwama wapi mimi
Naukujia aiseeee
Sema lingine boss wanguSitaki unipigie pm kukuelekeza inatosha
Umeanza zako za dislike🤣🤣🤣Kufunga pm ni hasara.
Mimi sitaki hata kujishughulisha jinsi ya kujua inafungwaje. Kiufuip we njoo tu nakusubiri nimejaa tele Kama kikatuni lodilofa kwenye kule kigari chake.
Hahaha, mkuu mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]Poteeni na msinitaje huko wakuu[emoji28]
Mbona Kama unaniokota mkuu!!?Achana na Glenn
Si nishakwambia wazazi tayari wanakujua nyumbani😌
I love u my sisy.Hapana sitaki kumtesa laaziz wangu kwa mambo ya kizembezembe mwisho aishiwe nguvu bure....we utapambana tu
Dadadekiii.....🤣🤣🤣🤣Huyo mzee wako njoo nae. Wote nawakubali.
Nakupenda tu ulivyo kasungura🤣I love u my sisy.
Mi ngoja niwapisheni sasa na shemela myajenge.
Yani hapa hapa goma limepinduliwa!!?Najua hujaacha kunipenda sema hupendi show off😂😂😂
Acha kuvunga basi mi nko serious, lets make it happen.Dadadekiii.....🤣🤣🤣🤣
Kumbe ndo mana mambo yamekua mepesi eeh?Kwa sisi wenye macho ya rohoni huwa tunaelewa na mbinu zenu za kijasusi😀😀😀
😂😂😂😂Mbona Kama unaniokota mkuu!!?
Wazazi ghafla hivi?
Mie mwenywe nashangaa kama wewe jamani