Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

[emoji3]Kikubwa ni kwamba aliyetangulia katangulia tu na hakuna awali mbovu... Hapana shaka kwamba kwenye wakubwa wawili halishindikani jambo. Acha huyo dogo aendelee kucheza na walamba lips akikua atakuwa amejifunza jambo.

Nipatie ushirikiano wako binti kisura, hakika utakula mema ya nchi. Wacha nikutunikie kile ambacho unastahili.
[emoji28][emoji28]dogo uishie hapo hapo, mali za kaka yako wewe huziwezi. Fanya maarifa ukubalike kwa huyo mdogo wake Clepatina. Joannah keshafika mwisho wa lami[emoji16]
 
Hebu sema wewe,Mimi niliwaambia Nina mzee mwenzangu wakaanza dharau sijui walihisi Mimi mgane! Clepatina unamsikia shemeji yako Sasa
Lakin sis si hata mie nilikwambia ninae shem wako hukuraka kunisikiliza.

Huu mvurugana umeusababisha wewe sisyπŸ˜‚,chakufanya piga chin mstaafu kamata mgodi tule maishaπŸ˜‚
 
Lakin sis si hata mie nilikwambia ninae shem wako hukuraka kunisikiliza.

Huu mvurugana umeusababisha wewe sisyπŸ˜‚,chakufanya piga chin mstaafu kamata mgodi tule maishaπŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣Daaah,huna huruma Unataka nimsabishie mstaafu wangu kiharusi!?hebu tuache we mtoto
 
Back
Top Bottom