Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

sahivi kila nikiona comment yako nakumbuka Kilimanjaro Airport πŸ˜‚πŸ˜‚
Upoje lakini 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Twende tukatalii, tupige na picha za ukumbusho basi
 
Upoje lakini 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Twende tukatalii, tupige na picha za ukumbusho basi
πŸ˜‚πŸ˜‚ sidaiwii.. nimejaa raha tu hapa

Twende Mbeya.. tukapige picha kwenye mashamba ya parachichi.

Au twende Dodoma.. tukapige picha na watu wa system

Au twende Mwanza tukaogelee..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ sidaiwii.. nimejaa raha tu hapa

Twende Mbeya.. tukapige picha kwenye mashamba ya parachichi.

Au twende Dodoma.. tukapige picha na watu wa system

Au twende Mwanza tukaogelee..
Me nataka tuanzie Kilimanjaro Airport, ndio tupige hizo ruti nyingine.

Hiyo ni sehemu ya kihistoria ujue, pa muhimu sana
 
Back
Top Bottom