Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kwani unafikir husband material ni nyie wa Jf mpambane tu nahalizenu ndoayngu inatoka huku mtaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee bwana wa mtaani ndio sie wakina mzabzab wa jf. Wanaume ni wale wale tunapenda mbususu na tunachepuka sasa wee shupaza shingo siku zinaenda
 
Binafsi nilikutana na mke wangu yeye akiwa na age 20, mimi 28; sasa mtoto wa kwanza yuko sekondari, na sijawahi kujutia, tukiwa pamoja unaweza hisi labda tuna wiki moja kwenye ndoa.
Muhimu upate mtu sahihi tu.
 
Nyie wa humunmna maneno machafu mtasema mmekunywa maji ya chooni πŸ˜€πŸ˜€
Nikiwaza kuchepuka tu nguvu zinaniisha YaniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Binafsi nilikutana na mke wangu yeye akiwa na age 20, mimi 28; sasa mtoto wa kwanza yuko sekondari, na sijawahi kujutia, tukiwa pamoja unaweza hisi labda tuna wiki moja kwenye ndoa.
Muhimu upate mtu sahihi tu.
Lakini uliona ni mtu sahihi kwako ndio maana mkafikia maamuz ya kuoana na mmedumu Sasa nikutane na mlevi huko et niolewe tu Bora nife single tu aisee
 
Kinachowafanya watu wengi wasiolewe ni mazingira wanayojiwekea, hasa maisha ya kuigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…