kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya.
Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao, yaani anapoishi na hata kabila lake.
Kwa upande wenu imekaaje hii?