Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hapo juu umenicheka hujanipa pole nilivyodanganywaga duuh, kuna wanawake wana drama sio za dunia hii🤣🤣Mwanaume mwenye App ya Mange kwa simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo juu umenicheka hujanipa pole nilivyodanganywaga duuh, kuna wanawake wana drama sio za dunia hii🤣🤣Mwanaume mwenye App ya Mange kwa simu
Mwanaume anayependa mambo ya umbea umbea daah, hua namchukulia tofauti sana hadi nahisigi kutenda dhambiHahaha yaani umbea sio?
Huyo ni mzab bhana kuhusu pesa sijaongelea.Acha ubahili bana ...... fake 😂
Haya naomba helaHuyo ni mzab bhana kuhusu pesa sijaongelea.
Nikiwa nazo nakupa kama sina sorry🤣
Hahaha ukiwa mkavu hivi hivi au?🤣🤣Haya naomba hela
Kwani kuomba hela natakiwa niwe nimeloa au😀Hahaha ukiwa mkavu hivi hivi au?🤣🤣
Legeza sauti🤣Haya naomba hela
Ombi kike sio kibabe kihivyo🤣🤣Kwani kuomba hela natakiwa niwe nimeloa au😀
Oya nifanyie mpango basi tigo pesaLegeza sauti🤣
Ruka hewani sasa😂Oya nifanyie mpango basi tigo pesa
Wengine somo la kulegeza sauti na kubembeleza tulipata F shule
Nawewe unapaswa kutoa papa ipasavyo ili na mimi nipasue waleti bila woga.Mwanaume mbahili.
.
Kama naniliii😂Mchoyo…
Heheeee yule ni extra ordinary 🤣🤣Kama naniliii😂
Pro max 🤣🤣🤣Heheeee yule ni extra ordinary 🤣🤣
Umbea ukizidi ni ugonjwa weweKwa wanawake umbea unasaidia kuboresha afya ya roho na mwili