Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kwetu haujazidi, hata robo ya kipimo haujafikaUmbea ukizidi ni ugonjwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu haujazidi, hata robo ya kipimo haujafikaUmbea ukizidi ni ugonjwa wewe
Hilo halina Shaka kabisa !Nawewe unapaswa kutoa papa ipasavyo ili na mimi nipasue waleti bila woga.
😂😂😂Money money...mon..g..e..r🤣🤣🤣
Mwanaume mbahili.
.
Haya nitumie namba nikutumie hela ya kusukaHilo halina Shaka kabisa !
Malaya na mshirikina.Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.
Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..
Kwa upande wenu imekaaje hii.?
Haya ndo maamuzi ya kiume sasaBinafsi sipendagi wanawake waswahili kuna manzi mmoja nilikutana nae somewhere nakumbuka nilimnunulia msosi na nikampa hela ya bodaboda na nikachua namba nilikuwa nachart nae vizuri nilipanga nae kama miadi Mara nne nahakutokea sehemu tuliopanga kukutana nae akanipa visingizio vya ovyo sijui msiba ulitokea siku nyingine Mara ooh Mama anaumwa.siku nyingine yeye ndio alipanga akasema atanipitia sehemu nilipo imepita massa 2 demu atokei wakati yeye ndio aliniambia simu nampigia inaita alafu haipokelewi. Eti baadae kabisa anakuja kunipigia anasema nilikuwa sijisikii tu kupokea simu dah nilimmind ila sikumwambia utadhani huyo manzi ni binti mdogo kumbe ni dada mtu mzima ana miaka 28.Baada yakuona miyeyusho ni Mingi nikaamua nisiwe napokea simu yake wala kumjibu message zake.
Siku Moja akanipigia kwa namba ngeni akaanza kunipa lawama ooh sasa hiv simjali Mara ooh ninamchunia wakati akiniomba hela nampa ila nikiomba meet aji nikaona huyu manzi akili hana kwasababu alishakula pesa zangu Sana nikamwambia nataka kesho uje tuonaone usipo kuja naomba ufute namba yangu ya simu tusitafutane naona unaniletea pigo za kishamba demu akaja nikamla siku hiyo hiyo ila alinichezesha si mchezo na siku hiyo hiyo baada ya kumaliza nae sex sikumtafuta na namba yake nikaifuta maana si kea upuuzi wa kijinga aliyonifanyia
Utajuaje kama mbahili anweza kuwa hana pesa na wewe unataka pesa kila sikuMwanaume mbahili.
.
Tunajua kama tunatakiwa kulipa😂😂😂99% kwa wanawake Hakunaga pesa ya bure miaka hii in one way or the other lazima utailipa tu!! Pesa inavua utuuu shauri yenu!
Vizuri!Tunajua kama tunatakiwa kulipa😂😂😂
Unakuwa na walakini kwamba jogoo hapandi mtungi? 🤔Namwogopa mwanaume ambaye nampa nafasi anikule afu yeye ananisubirisha....nahisigi Kuna walakini na mkuyenge wake....🙄
😔inaumiza sana au nadanganya The Icebreaker ?Unakuwa na walakini wamba jogoo hampandi mtungi? 🤔
Hii kitu nimeiona wanawake huwa mnakuwa na makasiriko mkicheleweshwa ndo mjue na sisi mkiwa mnatuchelewesha huwa tunamaindi ila basi tu tunavumilia kiume
Possibly anakua hajakuelewa labda lakini wanaume Wengi wao huwa hawaangalii hilo wengi wao ukijilengesha wanakupitia tu ukafie mbele sasa huyo wa kuletewa P hadi mdomoni kushangaa shangaa tu kweli kuna walakini!!😔inaumiza sana au nadanganya The Icebreaker ?