Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Umenikumbusha kituuuu dadaa kuna mtu huwa nikimfikiria simpatii majibu kabisa hahahaaa!!
Anyways
Hebu niendelee kusoma koments mie
[emoji144][emoji144][emoji144]
Nini hicho ndugu 🤣🤣🤣nishirikishe
 
Ile mikope huwa siipendi asee. Makeup ikizidi naonaga wanawake huwa hawapendezi wanakuwa vituko tu. Makeup ya kiasi huwa inawapendeza haimtoi kwenye uhalisia wake sura yake ilivyo
Uhakika mkuu, mana cjui walishadanganywa na Nan....
 
Huenda naye ameamua kufanya hivyo ili akufukuze🤣🤣🤣
Mhhh ety Nina daladala mbili mara nina biashara yangu fulani imekua hivi na hivi mara sijui mtu fulani mashuhuri nlikua nae akaniomba namba badae ananipiga mizinga........Mie namchora tu hyo siku kasema jion tutoke ntakughalamia kila kitu nkasema sawa kufika anauliza bei ya maji, anauliza hadi bei ya kinywaji nlichoagiza.... nkamwambia muhudu mi ntajilipia na huyu atajilipia nlikua nmetoka kupokea pesa ya kikoba........ akasema tuagize chakula nkaagiza kuku akauliza ni sh ngap me nkamwambia ntajilipia nkaagiza kuku mzima nusu afunge nusu nakula hapo hapo.......nkala peke yangu huku anatoa mimacho nkamaliza nkamblock hapo nmekaa nkampa elfu kumi ya nauli nkaita taxi huyo masafa
 
Ile mikope huwa siipendi asee. Makeup ikizidi naonaga wanawake huwa hawapendezi wanakuwa vituko tu. Makeup ya kiasi huwa inawapendeza haimtoi kwenye uhalisia wake sura yake ilivyo
Kuna Ile ya bei ndogo anakua kama ndege John lkn Ile ya kubandika kinywele kimoja kimoja uwez jua kama kaweka kope
 
Possibly anakua hajakuelewa labda lakini wanaume Wengi wao huwa hawaangalii hilo wengi wao ukijilengesha wanakupitia tu ukafie mbele sasa huyo wa kuletewa P hadi mdomoni kushangaa shangaa tu kweli kuna walakini!!
Possibly anakuwa hajakuelewa" tufunge post🤜
 
Mhhh ety Nina daladala mbili mara nina biashara yangu fulani imekua hivi na hivi mara sijui mtu fulani mashuhuri nlikua nae akaniomba namba badae ananipiga mizinga........Mie namchora tu hyo siku kasema jion tutoke ntakughalamia kila kitu nkasema sawa kufika anauliza bei ya maji, anauliza hadi bei ya kinywaji nlichoagiza.... nkamwambia muhudu mi ntajilipia na huyu atajilipia nlikua nmetoka kupokea pesa ya kikoba........ akasema tuagize chakula nkaagiza kuku akauliza ni sh ngap me nkamwambia ntajilipia nkaagiza kuku mzima nusu afunge nusu nakula hapo hapo.......nkala peke yangu huku anatoa mimacho nkamaliza nkamblock hapo nmekaa nkampa elfu kumi ya nauli nkaita taxi huyo masafa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka karibu nipaliwe na mate.

Kweli ulipatikana
 
Back
Top Bottom