Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Poleni wanaume mmeumbwa mateso.........Yani ukiona hvo ujue huyo mtu akutaki ndo anakukimbiza hivoAcha kabisa.
Unakutana na binti anakuvutia.
Day one
Narudia day one
Mnatoka out yaani anakutwisha shida za UKOO WAKE zote tena hapepesi macho heee.
Sijui niseme???🤣🤣🤣