Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Hahaha tuyaache hayo totoo but huwa nacheeka sana.
Kuna mtu unaweza kumpenda na ukatamani kabisa hata umsapoti but yeye anaanza kujiharibia mapema.

Namna bora ya kum win mwanaume.
Epuka njaa ndogo ndogo za mapema.

Kuwa na subira
Si ndio huu ujinga tulifanyaga? Kwa pro max!! Matokeo yake ndio tukamfundisha uchoyo mazima 🤣🤣🤣


Lenie
 
Binafsi sipendagi wanawake waswahili kuna manzi mmoja nilikutana nae somewhere nakumbuka nilimnunulia msosi na nikampa hela ya bodaboda na nikachua namba nilikuwa nachart nae vizuri nilipanga nae kama miadi Mara nne nahakutokea sehemu tuliopanga kukutana nae akanipa visingizio vya ovyo sijui msiba ulitokea siku nyingine Mara ooh Mama anaumwa.siku nyingine yeye ndio alipanga akasema atanipitia sehemu nilipo imepita massa 2 demu atokei wakati yeye ndio aliniambia simu nampigia inaita alafu haipokelewi. Eti baadae kabisa anakuja kunipigia anasema nilikuwa sijisikii tu kupokea simu dah nilimmind ila sikumwambia utadhani huyo manzi ni binti mdogo kumbe ni dada mtu mzima ana miaka 28.Baada yakuona miyeyusho ni Mingi nikaamua nisiwe napokea simu yake wala kumjibu message zake.

Siku Moja akanipigia kwa namba ngeni akaanza kunipa lawama ooh sasa hiv simjali Mara ooh ninamchunia wakati akiniomba hela nampa ila nikiomba meet aji nikaona huyu manzi akili hana kwasababu alishakula pesa zangu Sana nikamwambia nataka kesho uje tuonaone usipo kuja naomba ufute namba yangu ya simu tusitafutane naona unaniletea pigo za kishamba demu akaja nikamla siku hiyo hiyo ila alinichezesha si mchezo na siku hiyo hiyo baada ya kumaliza nae sex sikumtafuta na namba yake nikaifuta maana si kea upuuzi wa kijinga aliyonifanyia
Aisee wanawake wa namna hii wanaboa....mnapanga kuonana alafu last minute anakuja na kisingizio. Wanakera sana tuu.
 
Wanawake wenye akili wapo wachache wengine unawashangaa kabisa wanakula hadi nauli naatokei unajiuliza hizi ni njaa za namna gani alafu hela yenyewe ya nauli ni 5000 uliomtumia
Wengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia

😂😂 ila nauli ina ka utamu kake 👌 Lenie

Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe 👌🤗🤣🤣
 
we ni mmeru? 😂😂😂 Nimezoea kuona wameru na chaganian sana wakitumia totoo
Unafahamu vyema mimi sio mzaliwa wa kaskazini😂
Hili neno totoo nalielewa sana...acha nisitoboe siri totoo😅😅
 
Back
Top Bottom