Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Wengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia

😂😂 ila nauli ina ka utamu kake 👌 Lenie

Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe 👌🤗🤣🤣
Hii ni mbaya Sana sometime inawaharibia taswira hata kama mtu anataka relationship yenye malengo anahailisha mwanaume yoyote ukitaka kumfaidi epuka hulka au njaa za ovyo kuwa smart kichwani atakuwa anakupa yeyemwenyewe bila sometime hata kumuomba tofauti na hapo atakuona ni mdangaji hiyo mbinu sio nzuri kutokana na tafsiri ya Wanaume
 
Tatizo mkiachwa nanyi mnajisahau 😂

Muhimu kila mtu ashinde mechi zake za mtaani..

Mitandani humu tunadanganyana sana
 
Tatizo mkiachwa nanyi mnajisahau 😂

Muhimu kila mtu ashinde mechi zake za mtaani..

Mitandani humu tunadanganyana sana
Huyo ambaye ukimuacha kumuomba anajisahau ujue huyo akupendi Mwanaume akipenda anapenda kutoa labda itokee akiwa hana
 
Wengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia

😂😂 ila nauli ina ka utamu kake 👌 Lenie

Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe 👌🤗🤣🤣
Wanakimbia majukumu madogo madogo😂
 
Me ubahili unatibika vizuri tu na hela unatoa, ila mwanaume mkatili simuwezi......
 
Mropokaji, Ombaomba, Tapeli tapeli na Malaya aka mvaa vikuku
 
Sophy;
Mwanaume anapokuja kwako kuna kitu anatafuta na hicho akikipata na moyo wake ukafurahi pesa si kitu atakupa utakacho sawa na uwezo wake.

Vitu hivyo vyaweza kuwa;

Furaha ya moyo kwa jinsi utakavyo muhandle,
mvuto wako wa nje akitegemea na ndani ndivyo ulivyo,
hekima na busara zako,
ushauri mzuri nk ..hapa ukiweza kuuteka moyo wake umevipata na vyake vyote.
Tatizo watoto wa kike wanadhani akitoa mbunye tu ndio anastahili hela! 😂😂😂
 
Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.
Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..

Kwa upande wenu imekaaje hii.?
Mwanamke mzuri.. alafu mvivu huyo huwa anakuwa kama lile bomu la kurusha na mkono [emoji23]

Anytime anaweza kukulipukia..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom