Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Mwamke ambaye hayupo real kila kitu kwake ni maigizo kwa kifupi maisha ya tamthilia peleka kwenye ving'amuzi sometimes mi na-risk maisha yangu nafanya kazi saa nyingine hakuna kulala
 
Mwanamke mjuaji aisee huwa ananiboa sana, huwa hawachoki kuongea
 
Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.

Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?

Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..

Kwa upande wenu imekaaje hii?
Mwanamke asiye msikivu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sipendagi wanawake waswahili kuna manzi mmoja nilikutana nae somewhere nakumbuka nilimnunulia msosi na nikampa hela ya bodaboda na nikachua namba nilikuwa nachart nae vizuri nilipanga nae kama miadi Mara nne nahakutokea sehemu tuliopanga kukutana nae akanipa visingizio vya ovyo sijui msiba ulitokea siku nyingine Mara ooh Mama anaumwa.siku nyingine yeye ndio alipanga akasema atanipitia sehemu nilipo imepita massa 2 demu atokei wakati yeye ndio aliniambia simu nampigia inaita alafu haipokelewi. Eti baadae kabisa anakuja kunipigia anasema nilikuwa sijisikii tu kupokea simu dah nilimmind ila sikumwambia utadhani huyo manzi ni binti mdogo kumbe ni dada mtu mzima ana miaka 28.Baada yakuona miyeyusho ni Mingi nikaamua nisiwe napokea simu yake wala kumjibu message zake.

Siku Moja akanipigia kwa namba ngeni akaanza kunipa lawama ooh sasa hiv simjali Mara ooh ninamchunia wakati akiniomba hela nampa ila nikiomba meet aji nikaona huyu manzi akili hana kwasababu alishakula pesa zangu Sana nikamwambia nataka kesho uje tuonaone usipo kuja naomba ufute namba yangu ya simu tusitafutane naona unaniletea pigo za kishamba demu akaja nikamla siku hiyo hiyo ila alinichezesha si mchezo na siku hiyo hiyo baada ya kumaliza nae sex sikumtafuta na namba yake nikaifuta maana si kea upuuzi wa kijinga aliyonifanyia
Na wewe pia una’kaujinga na ka’ushamba flani hivi badirika
 
Back
Top Bottom