Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Mwanamke ambae sijamkuta virgin sio kwamba siwezi kuwa nae kwenye mahusiano no, ila simuheshimu tu (sijui kwanini ila ndo hivyo)

Hamna mwanamke ambae naogopa kuwa na mahusiano nae ila si-feel proud kuwa na mwanamke ambae ashakatwa utepe... Though naweza kuwa nae ila ndo hivyo siku akitokea ambae nitamkuta bado nampiga chini malaya.
 
Mwanmke ambae hanipi attention, hanipi muda wake, anaeleza sana matatizo yako lakn hanitengenezei mazingira nimueleze yangu, hathamini chochote namfanyia, anaumiza hisia zangu makusudi...

nimekutana nae mara .. asee huyu manzi kafanya sahii sina mzuka hata wa ku settle mahusiano.. in short siwaamini wanawake tena
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom