kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Dah kuna mmoja nilikuwa na appointment naye mara 3 haonekani na hiyo ni kuonana tu. Ni msanii wa kuimba maarufu kiasi ila hapa alivyonipotezea nikashukuru maana nilijua kinachofuata ni mizinga tu. Baada ya kutokuonekana alianza mizinga nikampotezea..Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.
Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..
Kwa upande wenu imekaaje hii.?
Asipo kuwa mbahili atafanya vipi maendeleo? Kumbuka mwanaume wakiafrika ana majukumu mengi kuliko kipato chake kumuhudumia mpenzi wake, Wazazi wake na kufanya maendeleo yake binafsi sasa akiamua akupe tu pesa je asipofanikiwa wewe utamvumiliq uwe nae?Mwanaume mbahili.
.
Habari imfikie msomali mwenye dramaz zake.Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.
Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..
Kwa upande wenu imekaaje hii.?
Mjinga malizana naye kijinga.Binafsi sipendagi wanawake waswahili kuna manzi mmoja nilikutana nae somewhere nakumbuka nilimnunulia msosi na nikampa hela ya bodaboda na nikachua namba nilikuwa nachart nae vizuri nilipanga nae kama miadi Mara nne nahakutokea sehemu tuliopanga kukutana nae akanipa visingizio vya ovyo sijui msiba ulitokea siku nyingine Mara ooh Mama anaumwa.siku nyingine yeye ndio alipanga akasema atanipitia sehemu nilipo imepita massa 2 demu atokei wakati yeye ndio aliniambia simu nampigia inaita alafu haipokelewi. Eti baadae kabisa anakuja kunipigia anasema nilikuwa sijisikii tu kupokea simu dah nilimmind ila sikumwambia utadhani huyo manzi ni binti mdogo kumbe ni dada mtu mzima ana miaka 28.Baada yakuona miyeyusho ni Mingi nikaamua nisiwe napokea simu yake wala kumjibu message zake.
Siku Moja akanipigia kwa namba ngeni akaanza kunipa lawama ooh sasa hiv simjali Mara ooh ninamchunia wakati akiniomba hela nampa ila nikiomba meet aji nikaona huyu manzi akili hana kwasababu alishakula pesa zangu Sana nikamwambia nataka kesho uje tuonaone usipo kuja naomba ufute namba yangu ya simu tusitafutane naona unaniletea pigo za kishamba demu akaja nikamla siku hiyo hiyo ila alinichezesha si mchezo na siku hiyo hiyo baada ya kumaliza nae sex sikumtafuta na namba yake nikaifuta maana si kea upuuzi wa kijinga aliyonifanyia
Hahaha yaani umbea sio?Mwanaume mwenye App ya Mange kwa simu yake
Money money...mon..g..e..r🤣🤣🤣Mwanaume mbahili.
.