Anakutesa kweli yaan😔
🤣🤣🤣🤣Uko na mdomo kweli🥴Nilikua na demu namtumia hela anazrudisha🤣afu kesho yake ananiomba najikuta nimempa Ila Sasa Baada ya kupita miaka mitatu si akaja akawa kapigika akaanza Tena hela akijua mimi bado mnyonge Akaja kuniomba hela jibu lilikuwa ni moja tu "choma kidole cha matackle yako afu ujinuse huko ndo hela zitatoka" 🤣
🤣🤣🤣🤣Uko na mdomo kweli🥴
Huyu mwanamke yuko sahihiUnamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?
Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.
Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.
Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.
Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.
Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.
Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.
Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Kilichomrudisha baada ya miak hiyo ni nini?Nilikua na demu namtumia hela anazrudisha🤣afu kesho yake ananiomba najikuta nimempa Ila Sasa Baada ya kupita miaka mitatu si akaja akawa kapigika akaanza Tena hela akijua mimi bado mnyonge Akaja kuniomba hela jibu lilikuwa ni moja tu "choma kidole cha matackle yako afu ujinuse huko ndo hela zitatoka" 🤣
😅😅😅Mhh mbona huyu baby wangu mpya atakuwa na kazi pevu, maana kila siku nasoma nyuzi kadhaa za kuwapondea.
Mbona kama kaniingia haka🤣maana hapa kuna muamala ninataka kutuma sehemu nimeghairi wacha nikatumie haka kafwedha kangu kachache mnywMwanamke ni kiumbe hutakiwi kumuonea huruma , wengi wanaumizwa na wanawake , hakuna siku utamfanyia kitu aridhike haipo
Kilichomrudisha baada ya miak hiyo ni ni
Hiyo ni kweli!!!Huku mtandaoni kila mtu huwa anajitwika ugwiji na umwamba ila uhalisia ni kwamba huku kitaa mapenzi yanawabamiza sana.
Haya bhana, 🥴Kosa liko wapy hapo demu alikuwaga ananichukulia mnyonge mnyonge baadae kuna notice nikazipitia "Yan ni humu humu tu"
Umejibu txt nyingi halafu ndefu mno, umemthibitishia kua amekuumiza, na ndio kitu wanachokitaka
Ilitakiwa ujibu tu "Sure, I'm out"
Kwa kijana anaejitafuta, kununua utamu kwa malaya inaokoa sana mda kuliko kuwa na mahusiano.
Mambo ya mahusiano waachie wazee maana wao wana mda na pesa, we unaejitafuta huna muda na pesa huna nunua tu malaya, la sivyo utashindwa kufocus na umri utakuacha.
Think about it✌️
Tuliza akili utanielewaUnahamasisha ujinga tu! Unajua kununua malaya Ina risk kiasi gan mimi nimekula sana bitches wa kununua kusema ukweli ni upuuzi tu bora ungewashauri vijana wawe Ata hobbies kupunguza mda wa kuwaza mapenzi
Tuliza akili utanielewa