Kuwekeza kwa wanawake ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na vijana wa miaka hii.
Ni uwekezaji ambao huwa hauna Return On Investment (ROI)
Mpendezeshe wengine wamuoe bwege wewe
Kukitokea misunderstanding tu kati yenu utamsikia
"Kwani nilikulazimisha kunipa pesa au zawadi?"
"Jambo gani la maana uliwahi kunifanyia maishani?"
"Kwani umetumia shingapi kwangu mpaka mishipa ya shingo ikutoke hivyo?"
Wewe kijana investor endelea tu kuwekeza kwa wanawake
You will learn the hard way
Never play fatherly or husband role on a girlfriend
Learn or perish