Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?

Huyu mangungu huyuuu...
Kwani kumpa mtu kitu chochote (awe mwanamke awe mwanaume) ni kuwekeza na usubiri mavuno? Unajua maana ya ''kutoa kwa hiari'? Huyo mwanamke huwa anakushikia bunduki ili umpe? Si wewe kwa unanga wako unaamua kujipendekeza ili akuone wa maana? Kama ni uwekezaji kwa nini usiende sehemu sahihi?
 
Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.

Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?

Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?

Huyo labda Dada Ako.

One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.

So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
Yeye katoa angalizo ya kuwa usiweze kwa mwanamke kiasi ambacho inakufanya ushindwe kutekeleza malengo yako
 
Kwani kumpa mtu kitu chochote (awe mwanamke awe mwanaume) ni kuwekeza na usubiri mavuno? Unajua maana ya ''kutoa kwa hiari'? Huyo mwanamke huwa anakushikia bunduki ili umpe? Si wewe kwa unanga wako unaamua kujipendekeza ili akuone wa maana? Kama ni uwekezaji kwa nini usiende sehemu sahihi?
Alichomaanisha mtoa mada ni kwamba usiwekeze kwa mwanamke sana kiasi ukashindwa kutekeleza malengo yako ulijiwekea kwenye maisha
 
Alichomaanisha mtoa mada ni kwamba usiwekeze kwa mwanamke sana kiasi ukashindwa kutekeleza malengo yako ulijiwekea kwenye maisha
Kwani mwanamke ni sehemu ya kuwekeza mpaka uwekeze kiasi cha kushindwa kutekeleza malengo yako? Hili ndilo swali langu. Yaani kwa kifupi msimamo wangu ni kuwa sehemu za kuwekeza ni sehemu kama kampuni, biashara, benki, kununua bonds nk. Lakini kwa mwanamke huwezi kuwekeza na ukiwekeza basi utakuwa ni mtu mjinga sana. Mwanamke kama una uhusiano naye au hata kama ni mke unampa zawadi au mahitaji nk kulingana na uwezo wako. Au zawadi ndiyo unasema ni kuwekeza?
 
Bi

Binafsi namwambia mwanamke kama unanipenda NAMI nakupenda basi tusaidiane haina haja ya Kila kitu nikufanyie.

Naambiwa bahili sijui matunzo ila kiukweli Mimi sijali.. nikipata na siku zikinikaa vizuri nampa

Tukikwazana kidog tu anasema hunihudumii vyakutosha na mim hainiumi kwakuwa ni kweli simhudumii vyakutosha.

Shida kubwa ni huu uoga tunaopeana kuwa mwanamke usipomridhisha sijui kumhudumia atakukimbia au wenzio wanakupigia,

It's ok, mwanamke hata umuhudumie vipi akitaka kutoka nje anatoka tu tena Kwa ajili ya vitu vya kijinga saana.

Kiongoz mim sio mhongaji ila wanawake nakaa nao saana tu.

Mwanamke Yuko kama mteja wa dukan hasa kwenye hivi vibanda vya mangi, ukimkopesha Kwa kuhofia kuwa atatoka kwako na kwenda Kwa mwingine hapo umempa ruhusa kutokuja dukani kwako maana atajua kuwa ana deni, ila ukimnyima lazima atakuja tena tu maana anajua anakuja kununua na Hana deni.

Ukimhudumia mwanamke Kwa hofu kuwa atatoka nje, siku atatoka tu bila sababu ya msingi. Ila ukimwambia ale kinachopatikana anakuwa na hofu yakutoka nje.

Acheni kujitutumia wanaume wenzangu,
Mwamba umeongea kitu cha msingi sana ina nigusa hata mimi manzi wangu sijamzoesha kuumpa hela kila anapohitaji, kuna siku akaniambia ujue kuna wanaume wengi wana hela wananihitaji me nikamjibu hivi kama wanakuhitaji unabaki na mimi ili iweje si uende ukaanzishe nao mahusiano sasa mimi nikusaidie nini. Tangu siku hiyo nilivyomjibu hivi hajawahi kuniletea ujinga tena zaidi ya kuzidisha upendo kwangu na heshima iliongezeka hiki ndicho kitu wanaume wanakosa kujiamini na kujipa thamani.Mfanye mwanamke wako ajione kwamba hana thamani anayojipa, shida vijana wengi wamempa mwanamke thamani kubwa ndio maana wanatawaliwa na wanawake.
 
Kwani mwanamke ni sehemu ya kuwekeza mpaka uwekeze kiasi cha kushindwa kutekeleza malengo yako? Hili ndilo swali langu. Yaani kwa kifupi msimamo wangu ni kuwa sehemu za kuwekeza ni sehemu kama kampuni, biashara, benki, kununua bonds nk. Lakini kwa mwanamke huwezi kuwekeza na ukiwekeza basi utakuwa ni mtu mjinga sana. Mwanamke kama una uhusiano naye au hata kama ni mke unampa zawadi au mahitaji nk kulingana na uwezo wako. Au zawadi ndiyo unasema ni kuwekeza?
Ndio mtoa mada anawaonya watu wanaofanya uwekezaji wewe uoni watu wanasomesha,wanafungulia biashara mademu zao n.k ndio kuwekeza kwenyewe huko Mwamba hivi vitu ujui kuna watu wanavifanya
 
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Hatari...kweli shukran ya pundaà mateke
 
Mwamba umeongea kitu cha msingi sana ina nigusa hata mimi manzi wangu sijamzoesha kuumpa hela kila anapohitaji, kuna siku akaniambia ujue kuna wanaume wengi wana hela wananihitaji me nikamjibu hivi kama wanakuhitaji unabaki na mimi ili iweje si uende ukaanzishe nao mahusiano sasa mimi nikusaidie nini. Tangu siku hiyo nilivyomjibu hivi hajawahi kuniletea ujinga tena zaidi ya kuzidisha upendo kwangu na heshima iliongezeka hiki ndicho kitu wanaume wanakosa kujiamini na kujipa thamani.Mfanye mwanamke wako ajione kwamba hana thamani anayojipa, shida vijana wengi wamempa mwanamke thamani kubwa ndio maana wanatawaliwa na wanawake.
Tupo kwenye kizazi cha vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.

Vijana. Wamekubali kushusha standards zao na kuwekewa standards za ovyo kabisa na wanawake
 
Tupo kwenye kizazi cha vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.

Vijana. Wamekubali kushusha standards zao na kuwekewa standards za ovyo kabisa na wanawake
Wanaume wengi wanakuwa wadhaifu mbele ya mwanamke kwasababu ya mbususu na wanawake wanawajulia sana
 
Mzee wa pixel hadi ww huna imani na wanawake 😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu wenzetu wamekaa kimkakati mda wowote kunachangamka ooh
Mwanaume 50% penda familia yako na Mungu
45% jipende wewe mwenyewe
5% tena nyingi sana wanawake watano na subs tatu.
 
DON'T CONDEMN THE WOMEN,COZ ARE WEAK IN NATURE.
So we men should we pray for them so that god can remove all sin facing and bless them.AMEN
 
Back
Top Bottom