Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?


Nyingine nkutumie wasapu??
Ndiyo
 
Nilikua na demu namtumia hela anazrudisha🤣afu kesho yake ananiomba najikuta nimempa Ila Sasa Baada ya kupita miaka mitatu si akaja akawa kapigika akaanza Tena hela akijua mimi bado mnyonge Akaja kuniomba hela jibu lilikuwa ni moja tu "choma kidole cha matackle yako afu ujinuse huko ndo hela zitatoka" 🤣
😂
 
Za kishua zinapatikana hzo hizi ambazo hazjui kufua chup kwa mkono ukute hapo kwa sisi tulio kulia street
Zingatia neno wakishua 😅, kwenye pesa hana ushamba, na kupendaga ikauwa love connected.
Achana na hawa anakuambia i love you ya njaa
 
Nakubaliana na wewe zaidi ya 100%. Huyu wa kwangu namfanyia kila kitu. Lakini ananitangaza kwa watu kwamba mimi ni chizi.
Pole sana kaka, hio ni red flag ,amekudharau sana .maana yake hathamini chochote unachomfanyia,

Bro imagine hayo unayomfanyia, ungemfanyia mama yako namna gani angekushukuru?🥲

Hakufai huyo ,japo ni ngumu kuukubali huu ukweli:
 
Baki hivyo hivyo single hakuna mwanamke anaejielewa akakubali kuwa na mwanaume mchukia wanawake get that into your thick skull
Tukisema ukweli mnatuchukia nyie shameless non-virgin endeleeni kuwachuna hao simps, masculine hamtupati kizembe hivyo

As long as you're a non virgin, I have concluded that you had a promiscuous past

You can fool good boys but not me
 
Tukisema ukweli mnatuchukia nyie shameless non-virgin endeleeni kuwachuna hao simps, masculine hamtupati kizembe hivyo

As long as you're a non virgin, I have concluded that you had a promiscuous past

You can fool good boys but not me
Eti masculine, na wewe unajiita masculine, wewe pamoja na umri wako kwenda you can't pull a woman,Huna mahusiano uko single halafu unajidai kushauri wenye mahusiano eti unajiita masculine, umasculine hauji kwa kuangalia porn na kujichua ndugu....
 
Umeongea ya maana sana ila kama ananipa ngono basi inatosha maana kwa Sasa nadhani ndicho nachotaka kwa mwanamke I honestly don't believe in love for now but if she give me sex in exchange of money I pay deliberately
Au vijana wanataka wapewe roho 😀, jamani kama unakula pusy understand it is ur time and enjoy it until when you can't eat it any more then look for another chick.
 
Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.

Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?

Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?

Huyo labda Dada Ako.

One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.

So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
Kama mapenzi yamewashinda wajalibu hata kilimo au siasa za Chadema, Wasituhubirie hate sisi magentleman
 
Mwanamke sii tu kuwa na bikra, kuna vitu kibao vinavyo fanya Mwanamke kuwa bora
 
Back
Top Bottom