Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.


Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.


Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Dahh nkma sana, umenikumbusha mbali sana, umenikumbusha siku tumezinguana na demu niliempiga chini katika kuongea ongea na kumlaumu mambo yake si nikajibiwa "KWANI NILIKUOMBA". Ktk moja ya mambo niliowahi kufanya kwake.
 
Ujaongopa ata,nimelea mtoto ambae nimemkuta nae tokea akiwa darasa la nne ad kamaliza fom4 mwaka wa pili sasa tokea amalize 4 mtu akaja kusema mwane kamlea mwenyewe ad kawa mbaba mzima😅😅😅 apa busara inahitajika unaweza piga ngum moja mkagawana majengo ya serikali wallah akuishia apo ana kwambia apa nilipo sina msaada wwte na mtu,apo kumbuka umeish nae s chin ya miaka 10 anajibu ivyo,ivi viumbe bible kusema tuishi nacho kwa akili ilikua sahihi sana.
 
Dahh nkma sana, umenikumbusha mbali sana, umenikumbusha siku tumezinguana na demu niliempiga chini katika kuongea ongea na kumlaumu mambo yake si nikajibiwa "KWANI NILIKUOMBA". Ktk moja ya mambo niliowahi kufanya kwake.
Wana majibu ya ovyo ukiwa na moyo wa nyama kumbamiza 😅😅
 
Back
Top Bottom