Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?

Nilikua na demu namtumia hela anazrudisha🤣afu kesho yake ananiomba najikuta nimempa Ila Sasa Baada ya kupita miaka mitatu si akaja akawa kapigika akaanza Tena hela akijua mimi bado mnyonge Akaja kuniomba hela jibu lilikuwa ni moja tu "choma kidole cha matackle yako afu ujinuse huko ndo hela zitatoka" 🤣
Anakutesa kweli yaanšŸ˜”
 
🤣🤣🤣🤣Uko na mdomo kweli🄓
 
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
ā€œ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia weweā€ SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambiaā€ asante kwa kila jambo unalomfanyiaā€ ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia ā€œsikukulazimisha kufanya kila kitu juu yanguā€ na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza ā€œ umefanya nini cha thamani juu yanguā€.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Huyu mwanamke yuko sahihi
 
Nilikua na demu namtumia hela anazrudisha🤣afu kesho yake ananiomba najikuta nimempa Ila Sasa Baada ya kupita miaka mitatu si akaja akawa kapigika akaanza Tena hela akijua mimi bado mnyonge Akaja kuniomba hela jibu lilikuwa ni moja tu "choma kidole cha matackle yako afu ujinuse huko ndo hela zitatoka" 🤣
Kilichomrudisha baada ya miak hiyo ni nini?
 
Kwa kijana anaejitafuta, kununua utamu kwa malaya inaokoa sana mda kuliko kuwa na mahusiano.

Mambo ya mahusiano waachie wazee maana wao wana mda na pesa, we unaejitafuta huna muda na pesa huna nunua tu malaya, la sivyo utashindwa kufocus na umri utakuacha.

Think about itāœŒļø
 
Unahamasisha ujinga tu! Unajua kununua malaya Ina risk kiasi gan mimi nimekula sana bitches wa kununua kusema ukweli ni upuuzi tu bora ungewashauri vijana wawe Ata hobbies kupunguza mda wa kuwaza mapenzi

Back
Top Bottom