Unamuondoleaje mtu hofu ya vitu kama wadudu

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello Jf.

Kuna partner wangu umri ni 30+
Jinsia KE

Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani anasisimka mpaka analia ni unaanza kumbembeleza na kumuonea horuma yaani anakuwa kama amechanganyikiwa.

Leo katika kuperuzi peruzi mtandaoni akakutana na picha ya mfano wa hizo yaani mpaka simu alifanya kuitupa, yaani akawa kama mtu kadata.
Yaani mkipita mahali ukaona hali ya vitu kama hivyo inabidi ufanye ujanja asione..
Aisee hivi hakuna njia ya kumuondolea hofu ya kiasi hicho?
Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.

Mfano picha kama hizi.

1000031301.jpg
1000031300.jpg
1000031302.jpg
 
Dawa ya uoga ni kumzoesha na kumuonyesha vitu anavyo viogopa..

Akiogopa wadudu awe exposed kwenye wadudu atazoea na kuona kawaida ingawa mwanzo itamsumbua sana.
 
Nimejaribu hiyo mbinu na mimi ndio nilijua hivyo ila mpaka analia yaani anakuwa nusu kichaa. Yaani anadata kabisa.

Ukimuonyesha tu kidogo ni anapiga simu huko ni kuanza kulia..

Hata kwao wameshindwa.

Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.
 
Nimejaribu hiyo mbinu na mimi ndio nilijua hivyo ila mpaka analia yaani anakuwa nusu kichaa. Yaani anadata kabisa.

Ukimuonyesha tu kidogo ni anapiga simu huko ni kuanza kulia..

Hata kwao wameshindwa.

Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.
Mkuu, nenda taratibu utachukua muda ila atakuwa sawa, inahitaji subira sana wakati wa matibabu na kama itakuwa ngumu wewe kumsaidia tafuta msaada kwa wataalamu wa saikolojia.
 
Hello Jf.

Kuna partner wangu umri ni 30+
Jinsia KE

Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani anasisimka mpaka analia ni unaanza kumbembeleza na kumuonea horuma yaani anakuwa kama amechanganyikiwa.

Leo katika kuperuzi peruzi mtandaoni akakutana na picha ya mfano wa hizo yaani mpaka simu alifanya kuitupa, yaani akawa kama mtu kadata.
Yaani mkipita mahali ukaona hali ya vitu kama hivyo inabidi ufanye ujanja asione..
Aisee hivi hakuna njia ya kumuondolea hofu ya kiasi hicho?
Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.

Mfano picha kama hizi.

View attachment 3095967View attachment 3095968View attachment 3095970
Nipatie namba yake nimsaidie
 
Kubembeleza ni mahaba, ni jukumu lako hilo kama mpenzi wake. Hivyo, usitafute njia za kuepa hilo jukumu la msingi la kimapenzi.

Waweza kuta haogopi kihivyo, ila ni kwa vile hupata raha akibembelezwa ndiyo inakuwa hivyo.

Isitoshe, siyo lazima akutane na hao wadudu wakiwa hivyo. Hivyo, waweza mtenganisha na maeneo yenye wadudu wa hivyo ili asiogope.

Ova
 
Hello Jf.

Kuna partner wangu umri ni 30+
Jinsia KE

Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani anasisimka mpaka analia ni unaanza kumbembeleza na kumuonea horuma yaani anakuwa kama amechanganyikiwa.

Leo katika kuperuzi peruzi mtandaoni akakutana na picha ya mfano wa hizo yaani mpaka simu alifanya kuitupa, yaani akawa kama mtu kadata.
Yaani mkipita mahali ukaona hali ya vitu kama hivyo inabidi ufanye ujanja asione..
Aisee hivi hakuna njia ya kumuondolea hofu ya kiasi hicho?
Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.

Mfano picha kama hizi.

View attachment 3095967View attachment 3095968View attachment 3095970
Machine 12 hamuogop Ila wadudu mnaogopa🤣dah
 
Ana entomophobia.
Hiyo aisee inakua ngumu kui manage.
 
Back
Top Bottom