Unamuondoleaje mtu hofu ya vitu kama wadudu

Unamuondoleaje mtu hofu ya vitu kama wadudu

w
Ana entomophobia.
Hiyo aisee inakua ngumu kui manage.
wabongo walimdakia mleta uzi kwamba anadeka. wabongo hatujawahi kumiliki akili. hizo phobia mimi ninayo ya magari. nikipanda gari moyo unalipuka ikiwa inakimbizwa au kwenye two lanes mfano gari za mikoani zikiwa zinapishana na magari mengine. na suffer hiyo trauma toka nazaliwa ikaongezeka baada ya kupata ajali mara 3 za gari maishani.
 
Nenda mkatalii kitulo kuna wadudu wengi, watamsaidia na atakutana na wataalam wa kazi hizo
 
Leo katika kuperuzi peruzi mtandaoni akakutana na picha ya mfano wa hizo yaani mpaka simu alifanya kuitupa, yaani akawa kama mtu kadata.
Yaani mkipita mahali ukaona hali ya vitu kama hivyo inabidi ufanye ujanja asione..
Niamini hiyo ni tatizo linalosababishwa na afya ya akili so nenda katika vituo vya afya Kwa sababu tulikuwa nae mtu wa namna hiyo home pale alikuwa ni mother wangu na alivyoenda hospital wakali solve safi kabisa
 
w
wabongo walimdakia mleta uzi kwamba anadeka. wabongo hatujawahi kumiliki akili. hizo phobia mimi ninayo ya magari. nikipanda gari moyo unalipuka ikiwa inakimbizwa au kwenye two lanes mfano gari za mikoani zikiwa zinapishana na magari mengine. na suffer hiyo trauma toka nazaliwa ikaongezeka baada ya kupata ajali mara 3 za gari maishani.
Aisee teyari ushakuwa traumatized mkuu.
Yani hadi saikolojia yako ikae sawa kwenye hilo jambo yahitaji muda na wewe pia kujiamini kuwa hakuna kitakachokutokea.
 
Niamini hiyo ni tatizo linalosababishwa na afya ya akili so nenda katika vituo vya afya Kwa sababu tulikuwa nae mtu wa namna hiyo home pale alikuwa ni mother wangu na alivyoenda hospital wakali solve safi kabisa
Duuh asante.
 
Inategemea mkuu ilisababishwa na nini.Maana phobia husababishwa na sababu kama;
1)Matukio ulopitia kulingana na unachokiogopa kama kung'atwa na wadudu n.k.
2)Hali za genetiki,
3)Mawazo kupitiliza.
4)Hali ya adrenaline response to fear.
Sasa hapa physician anakutibu kulingana na sababu.
Je shemeji yetu kwa mtoa mada yupo kundi gani??
 
Insect phobia hiyo. Anyway si lazima akutane na vitu kama hivyo.
Hizi shule zinawaharibu sana kijana....
Yaani siku ukija niambia huo upuuzi jitakutandika khelbu hadi utasahau hicho kingereza chenu yenye mnaita sijui "ohh inisekiti ferari"...😠
 
𝙷𝚒𝚕𝚘 𝚝𝚊𝚝𝚒𝚣𝚘 𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚋𝚊𝚊𝚍𝚑𝚒 𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚕𝚘. 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚙𝚒𝚊 𝚠𝚒𝚏𝚎 𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚊𝚔𝚒𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚊 𝚟𝚒𝚍𝚎𝚘/𝚙𝚒𝚌𝚑𝚊 𝚣𝚊 𝚠𝚊𝚍𝚞𝚍𝚞 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚘𝚛𝚞𝚗𝚍𝚒𝚔𝚊𝚗𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚜𝚒𝚜𝚒𝚖𝚞𝚔𝚊 𝚑𝚊𝚍𝚒 𝚗𝚐𝚘𝚣𝚒 𝚒𝚗𝚊𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚟𝚒𝚙𝚎𝚕𝚎 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚟𝚢𝚊 𝚋𝚊𝚛𝚒𝚍𝚒.
𝚣𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚓𝚞𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚓𝚒𝚏𝚊𝚗𝚢𝚒𝚜𝚑𝚊, 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚌𝚑𝚞𝚔𝚞𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚞 𝚢𝚊𝚔𝚎 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚒𝚗𝚐𝚒𝚊 𝚒𝚗𝚜𝚝𝚊 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚠𝚊 𝚗𝚊𝚜𝚎𝚊𝚛𝚌𝚑 𝚛𝚎𝚎𝚕𝚜 𝚣𝚊 𝚖𝚝𝚒𝚗𝚍𝚘 𝚑𝚞𝚘. 𝚖𝚏𝚊𝚗𝚘 𝚋𝚎𝚍𝚋𝚞𝚐𝚜 𝚔𝚒𝚋𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚝𝚞, 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚗𝚊 𝚢𝚎𝚢𝚎 𝚛𝚎𝚎𝚕𝚜 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚣𝚘𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚖𝚕𝚎𝚝𝚎𝚊 𝚗𝚒 𝚣𝚊 𝚊𝚒𝚗𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚝𝚞𝚞. 𝚊𝚕𝚒𝚝𝚎𝚜𝚎𝚔𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊. 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚟𝚢𝚘𝚔𝚞𝚓𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚞𝚊 𝚝𝚊𝚝𝚒𝚣𝚘 𝚜𝚎𝚛𝚒𝚘𝚞𝚜 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚖𝚠𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚜𝚊𝚖𝚊𝚑𝚊 😆😆😆
 
Inategemea mkuu ilisababishwa na nini.Maana phobia husababishwa na sababu kama;
1)Matukio ulopitia kulingana na unachokiogopa kama kung'atwa na wadudu n.k.
2)Hali za genetiki,
3)Mawazo kupitiliza.
4)Hali ya adrenaline response to fear.
Sasa hapa physician anakutibu kulingana na sababu.
Je shemeji yetu kwa mtoa mada yupo kundi gani??
Mawazo hapana hana.
Matukio ya nyuma hapana.

Yaani ni hofu tu kuona wadudu hao madude madude kama aliyopost mdau hapo. Hata mimi yananisisimua. Ila sio kwa kiwango kama chake ndio maana namuelewa anavyojihisi..
Yaani yanakusimumua tu ili hali hata ukimuuliza kwani unahisije huwezi kuwa na jibu. Yanatakudhuru hapana.
 
Back
Top Bottom