Hello Jf.
Kuna partner wangu umri ni 30+
Jinsia KE
Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani anasisimka mpaka analia ni unaanza kumbembeleza na kumuonea horuma yaani anakuwa kama amechanganyikiwa.
Leo katika kuperuzi peruzi mtandaoni akakutana na picha ya mfano wa hizo yaani mpaka simu alifanya kuitupa, yaani akawa kama mtu kadata.
Yaani mkipita mahali ukaona hali ya vitu kama hivyo inabidi ufanye ujanja asione..
Aisee hivi hakuna njia ya kumuondolea hofu ya kiasi hicho?
Japo hata mimi vitu vya aina huyo kiukweli huwa nasisimka ila sio kama yeye.
Mfano picha kama hizi.
View attachment 3095967View attachment 3095968View attachment 3095970