Unamuondoleaje mtu hofu ya vitu kama wadudu

Umenikumbusha bi maza,anaweza kumuua nyoka peke ake bila uoga,ila akiona jongoo vile anajongea, anatetemeka hadi ana freeze...tho kila mtu ana phobia yake..
 
SIjui ugonjwa unaitwaje ila kila mtu anao,wengine ndio hivyo unazidi,kuna kukosa utulivu flani ukiona wadudi ktk hali hii,hata kufanya kuwaza kuwadhuru.

Mimi siafu wamenikoma sana,nilikuwa nanunua mpaka mafuta ya taa nikawachome na nimewakuta mbali kabisa na maeneo ninapoishi.,manyigu nimewapa tabu sana.

Dawa hapo ni kumuacha awadhuru kwa mikono yake kama mimi nilivyofanya ili nafsi yake isuuzike,sio kumuonyesha picha.
 
Magonjwa yakizungu yanapamba moto nchi hii bila kusahau kubwa lao UTI.
 
Ni kweli unachosema mkuu lakini generally lazima TU concluded kuwa ni tatizo la akili yaani iwe itakavyo kuwa imesababishwa na Nini lakini mwisho tutarudi hapo tu kuwa ni shida hiyo
Sahihi mkuu ila kuna mawili hapo ndio yanashabihiana zaidi na saikolojia moja kwa moja.
Ila kuna mawili adrenaline reaction ndio inaichochea saikolojia.
 
Yaani wewe ndie yeye hivyo hivyo.. yaani hata mkiwa mnaangalia movie yakipita madude tu ya ajabu ajabu yenye matobo tobo au wadudu wamelindikana ni kisanga.

Yaani sijui nyuki, au masega ni anashika hadi kichwa.
 
Mimi kuna nyoka na dawa za vidonge, ukitaka nikuumize wewe niletee hata picha yake tu.
 
Yaani akiona wale pale anachanganyikiwa anashika kichwa.. anakimbia..
 
Paka, nyau ni viumbe ambavyo pamoja kua mtu mzima huwa sipendi wanisogelee au kupita karibu yangu

Nina allergies nao yaan Kama Yale ma paka ya hotelini na bar au nikienda ugenini sipendi wanisogelee paka huwa nakosa Raha na amani inatoweka.

Mimi napenda mbwa Sanaa Ila paka mbali mbali
 
Mmoja namfahamu hata kuku alikuwa hawezi kumshika. Ukimkamata kuku ukampa mkononi ashike ataruka kama kaona nyoka. Ni ukweli sio chai.
 
Mm huwa nasisimka sana sipendi nyuki at list ila nzi naweza ata chakula nikikumbuka naweza nisile au usingizi kwa tabu mnoo NZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…