Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Bora niwe pekee angu mimi, bora niwe pekee angu
 
Mkuu tupe feedback
 
Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Polee mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…