Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Kuna watu akili huwa haziwarudii
BTW unajua kupangilia maandishi na hoja zako [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri.. Ngoja nikomae na saida wangu
 
Ni upopoma tu.
Hutakiwi kuruhusu chochote kikuendeshe. Ukiona huli hulali kisa mtu mwingine akupuuzaye umeruhusu kutawaliwa.
Ngosha nawewe na ugumu wako mapenzi yanakupeleka puta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…