Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda hafu yeye hana mpango nawewe..
Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore.

Ukiwa peke yako unakua unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio hana habari (He/she don't give a damn shit)
Unampenda sana unamuonyesha upendo wa kweli ila ha-Appreciate lolote ulifanyalo..unabaki kulia tu usiku wa manane unawaza hadi kujiua au kujiona mtu usie na maana maishani wakati YOU WORTHY MORE THAN BILLIONS BEFORE GOD.

Kwanini uvumilie yote hayo mateso kama vile huyo abayekutesa ndio binaadamu pekee alibaki ulimwenguni..Wewe unakonda mwenzio anatoka shavu dodo.

Penda unapopendwa, penda pale unapoona unapata mrejesho wenye thamani ya upendo unaotoa. Wapo wengi wanatamani wakupe upendo wa dhati ila uneqafumbia macho na kung'angani mtu mmoja asiyejua thamani yako na thamani ya upendo wako..

Usilazimishe kupendwa,
Usilazimishe mawasiliano
Usilazimishe urafiki
Usilazimishe kupenda
Fura inachukuliwa haipewi..usisubiri mtu akupe furaha inuka kaichukue.
Be Valuable not available to everyone..

Milli Vanilli _ Girl I'm gonna miss you
Vers
leo uzi wako mkuu umenifurahisha sana.........ha ha ha namba yako tafadhali kesho nikutumie vocha ya buku!
kumbe ukitulia unaandika mambo ya kufikirisha.....
 
leo uzi wako mkuu umenifurahisha sana.........ha ha ha namba yako tafadhali kesho nikutumie vocha ya buku!
kumbe ukitulia unaandika mambo ya kufikirisha.....
Njoo uichukue pm asee..
 
Da Vinci unaamini uwepo was Mungu
Pili maisha baada kifo
Tatu je sala ya MTU itakuwa na umuhimu kama tayari maisha ya MTU tayari Mungu alishayapanga kabla ya kuzaliwa ??
Alafu tataendelea
 
Da Vinci unaamini uwepo was Mungu
Pili maisha baada kifo
Tatu je sala ya MTU itakuwa na umuhimu kama tayari maisha ya MTU tayari Mungu alishayapanga kabla ya kuzaliwa ??
Alafu tataendelea
Ndio sala ina umuhimu sana mkuu.
 
Back
Top Bottom